NEWS & UPDATES


SISALANA TANZANIA COMPANY LIMITED IMESHIRIKI KATIKA UFUNGUZI WA JENGO LA KIBIASHARA LA EAST AFRICA COMMERCIAL & LOGISTIC CENTER LILILOPO WILAYA YA UBUNGO- DAR ES SALAAM, LIMEFUNGULIWA NA MH. DR. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, TAREHE 01.08.2025

Mh. Dr Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ufunguzi wa Jengo la kibiashara la East Afica Commercial & Logistic Center akitembelea bidhaa za Mkonge zinazotengenezwa na Kampuni ya SISALANA TANZANIA COMPANY LIMITED, katika ufunguzi huo kampuni imewasilishwa na Meneja Uendeshaji Ndugu David Mziray

 

KAMPUNI YA SISALANA AMBAYO NI KAMPUNI TANZU YA MFUKO WA TAIFA WA HIFADHI YA JAMII (NSSF) IMEIBUKA MSHINDI NA KUKABIDHIWA TUZO KATIKA KIPENGELE CHA WAZALISHAJI BORA WA BIDHAA ZA KILIMO, UVUVI NA UFUGAJI

https://www.facebook.com/TBConlineTZ/posts/kampuni-ya-sisalana-ambayo-ni-kampuni-tanzu-ya-mfuko-wa-taifa-wa-hifadhi-ya-jami/718614287467355/

TAARIFA YA UTENDAJI WA VIWANDA VYA KUSINDIKA MKONGE KWA KIPINDI CHA MWEZI JANUARI 2022 HADI DISEMBA 2022

TAARIFA YA UTENDAJI WA VIWANDA VYA KUSINDIKA MKONGE KWA KIPINDI CHA MWEZI MACHI 2021 HADI DISEMBA 2021

SISALANA BROCHURE

SISALANA PRODUCTS CATALOGUE

MKUU WA MKOA WA TANGA ATEMBELEA VIWANDA VYA KUCHAKATA MKONGE VYA NSSF KUPITIA KAMPUNI YA SISALANA

WAFANYA KAZI ZAIDI YA1000 WANATEGEMEA KIWANDA CHA SISALANA /KANUNI ZA KILIMO BORA ZA ZAO LA MKONGE